Twakaribia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Twakaribia - The Gracious Family
...
Twakaribia,mji ule wake Mungu Mji ule wake Yesu wakaapo watatifu(takatifu) Twakaribia ,mji ule wa washindi (Wakaapo nao malaika wakimsifu kwa shangwe kuu Wakaapo nao malaikaa wakimsifu kwa shangwe kuu Njooni nyote twendeni Njooni nyote kwake Anatuita site kwa uupendo Tukaishi kumuabudu Mji huo malango yake ni ya lulu Njia zake za dhahabu Yesu ndiye Nuru yetu(Nuru yetu) Natamani hata nami niwe pale Niimbe nao malaika na kumsifu kwa shangwe kuu Niimbe nao malaikaa na kumsifu kwa shangwe kuu
Similar Songs
More from The Gracious Family
Listen to The Gracious Family Twakaribia MP3 song. Twakaribia song from album Neema is released in 2022. The duration of song is 00:04:52. The song is sung by The Gracious Family.
Related Tags: Twakaribia, Twakaribia song, Twakaribia MP3 song, Twakaribia MP3, download Twakaribia song, Twakaribia song, Neema Twakaribia song, Twakaribia song by The Gracious Family, Twakaribia song download, download Twakaribia MP3 song