Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Ni Hakika - The Gracious Family

...

Ni hakika Mungu yupo nasi Hutembea pamoja tukiwa safarini Ijapo vikwazo vingi ndiye suluhisho Tusife moyo tukaze mwendo Upo kwenye shida au mashakani Jaribu kumuomba Mungu atakusikia Jenga Imani yako na utafanikiwa Hakika hawezi kukuacha Jenga Imani yako na utafanikiwa Hakika hawezi kukuacha Tumtegemee yeye ndiye ngao Ni mwamba imara na wokovu wetu Tukimtumainia yeye pekee hawezi tuacha sisi wake Tumtegemee yeye ndiye ngao Ni mwamba imara na wokovu wetu Tukimtumainia yeye pekee hawezi tuacha sisi wake Tuwapashe watu habari za mwokozi Ya kwamba yeye yupo na atawaokoa Wasife moyo wawe na Nguvu kwa maombi Maana ufalme ukaribu Nasi Leo tuwe na uamuzi wetu kama tutauridhi huo ufalme wake Tujiandae kwa kusikia wito wake ajapo twende naye mbinguni Tujiandae kwa kusikia wito wake ajapo twende naye mbinguni Tumtegemee yeye ndiye ngao Ni mwamba imara na wokovu wetu Tukimtumainia yeye pekee hawezi tuacha sisi wake Tumtegemee yeye ndiye ngao Ni mwamba imara na wokovu wetu Tukimtumainia yeye pekee hawezi tuacha sisi wake Tumtegemee yeye ndiye ngao Ni mwamba imara na wokovu wetu Tukimtumainia yeye pekee hawezi tuacha sisi wake

Listen to The Gracious Family Ni Hakika MP3 song. Ni Hakika song from album Neema is released in 2022. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by The Gracious Family.

Related Tags: Ni Hakika, Ni Hakika song, Ni Hakika MP3 song, Ni Hakika MP3, download Ni Hakika song, Ni Hakika song, Neema Ni Hakika song, Ni Hakika song by The Gracious Family, Ni Hakika song download, download Ni Hakika MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status