Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Tazama Bwana - Wasafiri Family Melodies

...

Tazama Bwana ameifanya Dunia kuwa tupu ameipindua na kuwa tawanya wakao ndani maana kuna upinzani mkubwa kati ya watu ,dunia inaomboleza inazimia imetiwa unajisi watu wameziasi sheria na agano la Mungu .

Eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe ,uwe mkono wetu kila asubuhi na wokovu wetu, pumzi ya mianzi ya pua zetu ,uwe Mungu wetu wakati wa shida iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara .

Instrumentals

Kila mtu atapatwa na mambo yale yale mtu wa kawaida na kuhani mtumwa na Bwanake mjakazi na bibi yake wote Bwana anasema Dunia itaharibiwa kuangamizwa mwenyezi Mungu asema watu wameitia maovu mwenyezi anena.

Eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe, uwe mkono wetu asubuhi na wokovu wetu, pumzi ya mianzi ya pua zetu , uwe Mungu wetu wakati wa shida , iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara

eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe , uwe mkono wetu kila asubuhi na wokovu wetu ,pumzi ya mianzi ya pua zetu uwe Mungu wetu wakati wa shida , iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara .

eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe , uwe mkono wetu kila asubuhi na wokovu wetu, pumzi ya mianzi ya pua zetu uwe Mungu wetu wakati wa shida , iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara .

eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe, uwe mkono wetu kila asubuhi na wokovu wetu , pumzi ya mianzi ya pua zetu uwe Mungu wetu wakati wa shida , iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara .

eeh Bwana uturehemu tunakungoja wewe ,uwe mkono wetu kila asubuhi na wokovu wetu , pumzi ya mianzi ya pua zetu uwe Mungu wetu wakati wa shida, iombolezapo Dunia uwe mwamba wetu imara .

Similar Songs

Listen to Wasafiri Family Melodies Tazama Bwana MP3 song. Tazama Bwana song from album Tazama Bwana is released in 2022. The duration of song is 00:05:40. The song is sung by Wasafiri Family Melodies.

Related Tags: Tazama Bwana, Tazama Bwana song, Tazama Bwana MP3 song, Tazama Bwana MP3, download Tazama Bwana song, Tazama Bwana song, Tazama Bwana Tazama Bwana song, Tazama Bwana song by Wasafiri Family Melodies, Tazama Bwana song download, download Tazama Bwana MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status