Maghetto
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Maghetto - Michu
...
Naishi maghetto ya wanangu, sina chochote sina kwangu
Nahangaika nipate kwangu, jua na mvua vyote vyangu
Mi mwenyewe sina pa kukaa, halafu nawe unataka uje Dar
Mara kwa mara huwa nalala njaa, ntakulisha nini
Ndio nahangaika nasaka chapaa, vumilia punguza lalama
Ukiona mwanaume analala njaa, ujue mambo yanaenda mrama aaah
aaaaah
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
see lyrics >>Similar Songs
More from Michu (TZ)
Listen to Michu (TZ) Maghetto MP3 song. Maghetto song from album Maghetto is released in 2022. The duration of song is 00:02:51. The song is sung by Michu (TZ).
Related Tags: Maghetto, Maghetto song, Maghetto MP3 song, Maghetto MP3, download Maghetto song, Maghetto song, Maghetto Maghetto song, Maghetto song by Michu (TZ), Maghetto song download, download Maghetto MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Davis Nyambo
@michuzi45
Big up mwanetu
hammy 29s3f
remix yako na rapcha iko wap
Innocent uronuhk8oa
Dogo kaza ngoma kali Rapcha ni hatariii
Montanavg2sl
Unajua
Renato Riziki
tunashndwa kupata ngoma zako vizur maana kwny account yako zimechanganyika na za wasanii wenye jina kama lako bro
Mr romantic 255
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
good luck to you my friend