Maghetto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Maghetto - Michu
...
Naishi maghetto ya wanangu, sina chochote sina kwangu
Nahangaika nipate kwangu, jua na mvua vyote vyangu
Mi mwenyewe sina pa kukaa, halafu nawe unataka uje Dar
Mara kwa mara huwa nalala njaa, ntakulisha nini
Ndio nahangaika nasaka chapaa, vumilia punguza lalama
Ukiona mwanaume analala njaa, ujue mambo yanaenda mrama aaah
aaaaah
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
Mama Michu nae anataka kuja huku, maisha magumu ntawalisha nini
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Maghetto ya wanangu
Naishi magheto ya wanangu (maghettoo)
Magheto ya wanangu
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Magheto ya wanangu
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Maghetto ya wanangu
Mafanikio yanakuja kwa muda
Sio naopanga mimi, anaopanga Muumba
Usidhani nimegeuka Yuda, nimefanikiwa nimekusahau mchumba
Najua unataka kuja kunisalimiaaa, ghetto lenyewe tuko watu zaidi ya miaa
Afadhali tunapata pa kupumzikia ila Mungu wetu yupo atatujalia
Subira haujawahi mtupa mtu, isije ukaolewa nikaambulia patupu, baby
Nakumbuka nliacha vikuku, kamata chinjia kila mi nishibe huku
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
Mama Michu nae anataka kuja huku, maisha magumu ntawalisha nini
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Maghetto ya wanangu
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Magheto ya wanangu
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Magheto ya wanangu
Naishi maghetto ya wanangu (maghettoo)
Maghetto ya wanangu