Siogopi ft. Mr T Touch Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Siogopi ft. Mr T Touch - Mr Blue
...
His another one
Ah yah
touch
ah yah ah yah
Mfalme jua wanajua namulika, napiga dua na dua zinakubalika.
Sivimbi kifua ni heshima kila rika, nina kitita ila sitaki sifa,
Hichi kichwa kimejaa maarifa, njoo upige picha na Mr uvagi insta
Sipulizi kichwa simuulizi ticha, na usilete collabo kama hizi nitakuficha
Hivi vita bunduki kwenye spikas, mcs wapo jikoni wanapika, wasani wakija uringoni nawapiga hata jogoo asipowika asubuhi itafika