Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2022

Lyrics

Mpenzi Adui ft. Aslay - Mr Blue

...

Ooooooh yeeee

omooo time

(dapo on truck)

Let's go

Tulianza urafikiii

Sialisema yeye ni shabikiii

Tukawa tunaonana mwisho wa weekii

Tuna kula kula dinner tunacheza muzikii

Hata mm sikufichii

sikumbuki gari lile lilikwama vipii

Nilitaka utamu nikampata mwenye pipi

viti juu ya meza nipo na mwenyewe kitii

Bwana misosi nitoke vipii

Nawaza kwenye ndozi moyo pipi

penzi la kuforce ni nyama mbichi

movie za kigost ni uchebe na shishi

Nakumbukq Kila juma mosi

tulikua sare sare Kama movie za kindosi

Upo jikoni unakarangiza misosi

Namm nipo mbioni kibaruan ninaforce

Kidogo mkononi unapiga magotiii

Bongo Motoni nijua la utosiii

Unacheka cheka kama tuko na jotii

unaanza kucheza cheza hpo ulingo za kofii

Mara baridi anaagiza cofee

Na Baki na yandani baada ya kumupa koti

Hisia Kali anatoka machozi

Ananikumbusha nyimbo zangu za mapozi

Ananikumbusha enzi zangu za ubitozi

ahhhhh

Tuka lewa tuka lewa

ahhhhh

Alopewa kapewa nyumbani akachelewa

Mambo juu ya hewaaaa

Nilidhani pisi kumbe fisi

Akaweka sumu kwenye kisii

kumbe nanizoom anamiksiii

Huyu demu ibilisi

huyu demu mfirisi

Ameuza roho yangu

ameuza utu wangu

Penzi linanitoa roho yangu

Ameuza roho yangu

Ameuza utu wangu

penzi linanitoa roho yangu

yaaaeeh

Tukaja kuwa wapenzi

mtoto wa geti anaruka fansi

Anakuja ghetto namtungiasha verse

Ghetto joto mbona Kuna AC

Ila mtoto mbona yuko fresh

Mtoto ugali mdogo nyama steki

Wanangu changu kidogo akiombeki

kudadadeki mazoezi yakawa mechi

kiwanjani akajifanya Messi

Akawa ananitibu akajifanya nesi

Tukaenda kwa mama na mama akabless

kuona mwana Hana stress

kichwa less mbio mpaka Bank

ndio ndio nikamuonga vicent

Japo salio ni chini ya bageti

aaaah Ile nyingine chini ya kapeti

meli ikazama kwa utamu wa muaa

nikaenda kwa mama nikaenda kwa mshua

Na mshua akaamua niwe naye Kila hatua

Kila jua bila kujua ataniua

Nilidhani pisi kumbe fisi

Akaweka sumu kwenye kisii

kumbe nanizoom anamiksiii

Huyu demu ibilisi

huyu demu mfirisi

Ameuza roho yangu

ameuza utu wangu

Penzi linanitoa roho yangu

Ameuza roho yangu

Ameuza utu wangu

penzi linanitoa roho yangu

Added by

Prince wa kigoma

(dapo on track)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status