Baki Nawe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Baki Nawe - Vasmo Onesmo
...
Upendo wako wanitosha
Neema yako yanitosha
Huruma yako yanitosha Bwanaaa
Wema wako wanishangazaa
Nuru yako yaniangazaa
Msamaha wako umeutangaza Bwanaa
Bwana kwako iko njia na uzima
Kwako sitoweza kushupaza shingo
Tena kwako siondoki hata kidogooo mmmh…
Neno lako kweli tena ni Amina
Kila usemacho kwangu ni Amina
Tena sioni mwengine wakufananaa heee..
Nabaki na wewe
Nabaki na wewe
Nabaki na wewe
Nabaki na we
Mi na Baki na wewe, Yesuuu *2
Sometimes,Dunia yanishika,Yataka kunipa miliki zote
Sometimes naona pata Shika,lakini mkono wako wanishika
Sometimes Sielewiii
Nimewezajee
Kupata Kile kitu ambacho,Sikustahili…
Neno lako kweli tena ni Amina
Kila usemacho kwangu ni Amina
Tena sioni mwengine wakufanana heeeee…
Nabaki na wewe
(Mungu Wangu)
Nabaki na wewe
(we ni Baba yangu)
Nabaki na wewe
(eeeheee)
Nabaki na Wewe Yesuuuu
(Yesu wanguuu)
Nabaki na wewe
(mwokozi Wangu)
Nabaki na wewe
(Chukua Vyoteee)
(chukua moyo wangu)
(Bwana ndipo uishi)
(Bwana ndipo Ukaa)
Nabaki na wewe
Nabaki na wee
Mi nabaki na wewe Yesuuu
Music
(Mungu wangu,wee ni Baba Yanguu)
Music continues till fade