Niokoe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Niokoe - Vasmo Onesmo
...
Vasmo
Niokoe Niokoe
Niokoe Niokoe
Baba napenda mademu,Napenda kulewa, sina adabu,sina nidhamu navuta na ndumu na nimekubuhu
Maisha yangu yamebadilika
Kanisani nimeadimika
Uongo nao siachi
Uhuni na uasherati
Niokoe baba nakuhitaji baba
Usiniache nahangamia
Maji yamenielemea
Niokoe baba niokoe baba
Niokoe Niokoe niokoe niokoe niokoe niokoe niokoe
Biashara haiwezi kwenda bila kuganga
Bila kuwanga
Nashinda kwa waganga
Nachekecha manyanga
Napeleka kukukaanga
Noo noooh
Kinywa chao kimejawa matusi,
Ukuhadi umbea uzushi
Na kudanga kubadilisha viwanja
Uongo nao siachi
Uhuni na uhasherati
Niokoe baba nakuitaji babaaaa
Niokoe (nishike mkono)niokoe (pekee yangu siwezi ) nikoe(pekee yangu siwezi ) niokoe ooh ooh nikoe
Nioko mkono wako sio mfupi mpaka
Usindwe kuniokoa niokoe
Baba mungu niokoe (niokoe)*2
Nimeshindwa pekee yangu nimeshindwa niokoe nahitaji msaada wako niokoe
Nahitaji huruma yako niokoe
Niokoe babaaa