Penye Raha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Penye Raha - Rose Muhando
...
woi woi woi yeeeh nenda
tenda wema nenda zako
nenda
usingoje kusifiwa
mama wee..
usisubiri asante nenda
usingoje shukurani mama wee
nenda..
mwanadamu si wema
mama wee...
wanameno wanauma
mama wee..
wanawasha kama pilipili
mama wee...
wana upupu utajikuna wee
mama...
meno yao kama chuma
mama wewe...
tenda wema nenda zako
utalipwa na MUNGU
(...muziki.. huru.. )
ukisubiri kusifiwa
mama wewe...
ukingoja shukurani mama wee
mama...
makubwa yatakukuta..
mwenzangu wee...
makubwa yatakukuta
pole wee...
matusi utayasikia..
pole wee...
dhihaka utazitambua
mama wee...
kashifa utatupiwa
mama wewe
tenda wema nenda zako
mama...
nasema usigeuke nyuma
nenda mama wee...
nenda....
nasema nenda...
ah nenda..
utalipwa na MUNGU.
(..muziki...huru.. )
siku ya mateso yako
pole wee...
siku ya mateso yako mama wee..
pole wee..
siku ya huzuni yako
mama..
siku ya maangaiko yako..
mama wee..
siku ya anguko lako mama wee..
pole wee...
waliokuwa rafiki zako mama
watageuka mwiba kwako
polee...
walio kula chakula chako..
mama wee...
watageuka anguko lako mama wee..
uliotenda wema kwao..
pole wee...
yatageuka maumivu yako..
pole wee..
waliokula chakula chako
siku ile
watasahau wema wako
mwenzangu eeh
watakaa vibarazani
jamani eeh
watacheka na vicheko
mama wee..
majina watakupatia
pole wee..
tena mabaya yenye hatia
tenaa..
mabaya yenye ubia
kwako...
watakuitwa
kimbelembele
eti wewe
kimbelembele mwenzangu kimbelembele
wema wako
kimbelembele
uliwasaidia
kimbelembele
uliwasaidia
kimbelembele eti wewe kimbelembele
mama mama ...
mama wee..
mama wee..
mama wee..
usichoke kutenda wema
utalipwa na MUNGU
(...muziki..huru... )
wacha nisemw ukweli
jamani eeh
acha niseme ukweli
mwenzangu eeh
wanadamu hawabebeki hawabebeki
hata ukifanya nini
hawabebeki
wabebe kwa mbeleko ya chuma
hawabebeki
wabebe kwa maturubahi
hawabebeki
watachukuwa na viwembe jama eeh
mama
watachana turubahi
kweli
wachane wakukimbie
pole wee..
wabebe kwa mbeleko ya chuma
hawabebeki
watatafuta misumari
mama
watagonga
ngo.. ngongo...
wape chakula wale
haya...
washibe wakutukane jama eeh
mama
wape chakula wale
tena....
kesho watakushitaki
mama
nenda
aah nenda
utalipwa na MUNGu
(..muziki... huru...)