Mungu Unashangaza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mungu Unashangaza - Rose Muhando
...
Mungu Unashangaza as sang by Rose Muhando
Lyric-Synching by Phellow Aduvaga +254790511905
******piano******
*****interlude ******
Halleluiah
Wewe Mungu unashangaza sana Ah
Halleluiah
Halleluiah aah
*****Chorus******
Tuuuru tururu tuuuru
Matendo yako ya ajabu sana
Yashangaza
Fadhili zako za milele baba
Zashangaza
Nikitazama ulivyoumba
Yashangaza
Upendo wako kwangu mimi
Washangaza
Miujiza na maajabu tele
Vyashangaza
Wanyama wa kondeni baba
Washangaza
Milima na mabonde vinaimba
Washangaza
Wanyama nao wanasema wewe
Washangaza
Uumbaji wako mungu
Washangaza eiiaa
******piano*******
Matendo yako ya ajabu sana baba
Washangaza
Fadhili zako za milele baba
Washangaza
Uwezo wako kwa ulimwengu
Washangaza
Uumbaji wako wa pekee
Washangaza
Aah! nikupe nini Mungu wangu
Washangaza
Unavyonipigania baba
Washangaza
Rehema zako kwangu mimi
Washangaza
******instruments*****
*****interlude 2*****
Mataifa waimbe
Ni wewe
waiimbee)
Ni wewe
Wenye nguvu waimbe
Ni wewe
waimbee)
Ni wewe
Mlango wa Haruni imba
Ni wewe
imbaa)
Ni wewe
Jerusalemu waseme
Ni wewe
wasemee)
Ni wewe
Mwenye nguvu ni wewe
Ni wewe
(Ni wewe)
Ni wewe
Mwenye uwezo ni wewe
Ni wewe
(Ni wewe)
Ni wewe
Wateule na waimbe
Ni wewe
waiimbee)
Ni wewe
Mlango wa Haruni imba
Ni wewe
waiimbee
Ni wewe
Wanyofu wa moyo imba
Ni wewe
(waiimbee)
Ni wewe
Wateule imbeni hee!
Ni wewe
(waiimbee)
Ni wewe
Mwenye nguvu ni wewe
Ni wewe
Ni wewe)
Ni wewe
Mwenye uweza ni wewe
Ni wewe
(haya ni wewe)
Ni wewe
Mwenye mamlaka ni wewe
Ni wewe
oo Ni wewe)
Ni wewe
Mungu nani kama wewe
Ni wewe
Ni wewe)
Ni wewe
Ni wewe
yonanayoo
yoyooo
yonananayooo
uweee yonanayooo
uwe
halelluya
mlango wa Haruni na waseme fadhili zako ni za milele
hey
hey
hey
piano
Tuuuru tururu tuuuru
Lyrics editef and synchronised by PhellowKenya 254790511905
thank you for supporting Rose Muhando Ministry