Kwa Nini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Kwa Nini - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
*****verse1*****
hayaa hekima njooni
hiyo jifunzeni
kwa nini?
kwa nini jamani
kwa nini wewe
kwa nini
hupendi kuona wengine
wakafanikiwa kama wewe
hupendi kuona wengine
wakiwa na furaha kama wewe
hupendi kuona wengine
wakiwa na amani kama wewe
hupendi kuona wengine
wakiishi salama kama wewe
kwa nini
kwa nini wewe eeh?
*******chorus*****
Sikia mwanadamu wewe
Bwana asema hivi wewe
mnafiki
wewe
muuaji
wewe
mpumbavu
wewe
usiku huu Mungu anataka roho yako wewe
******verse2******
u nani?
wewe
u nani?
wewe
u nani?
us'openda kuona
wengine wakiendelea kama wewe
mbona umefanya mipango
jirani yako ameshushwa cheo?
mbona umefanya mipango
jirani yako yuko gerezani?
umekuwa tayari kutoa rushwa
ili wengine waangamie
mbona umedhubutu kudhulumu
mali za yatima jamani?
mbona umewatenda watu mabaya
mengine pasipo sababu?
kwa nini?
umekuwa tayari kutoa rushwa
ili wengine waangamie
umekuwa tayari kutoa rushwa
majirani waangamie
kwa nini?
wewe?
*******chorus*****
Sikia mwanadamu wewe
Bwana asema hivi wewe
mnafiki
wewe
muuaji
wewe
mpumbavu
wewe
usiku huu Mungu anataka roho yako wewe
*****bridge1******
vita hivi vyatoka wapi
wewe
mapigano ni ya nini
wewe
mumo katika tamaa zenu
wewe
mtaumana na kumalizana
wewe
achia Mungu heshima yake
wewe
Mungu wangu akisema ndio
wewe
hakuna mwingine wa kusema hapana
wewe
akisema atakubariki
wewe
hakuna mwingine atakayelaani
wewe
kwa nini
wewe
******chorus******
Sikia mwanadamu wewe
Bwana asema hivi wewe
mnafiki
wewe
muuaji
wewe
mpumbavu
wewe
usiku huu Mungu anataka roho yako wewe
*****bridge2******
kumbuka upanga hunoa upanga
wewe
kumbuka chuma hunoa chuma
wewe
auaye kwa upanga atauawa kwa huo
wewe
kumbuka chuma hunoa chuma
wewe
auaye kwa upanga atakufa kwa huo
wewe
kumbuka upanga hula upanga
wewe
kwa nini
wewe?
*******chorus********
Sikia mwanadamu wewe
Bwana asema hivi wewe
mnafiki
wewe
muuaji
wewe
mpumbavu
wewe
usiku huu Mungu anataka roho yako wewe
lyric sync by Phellow 254790511905
thank you for supporting Rose Muhando Ministry