Sikuachi ft. Kusah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sikuachi ft. Kusah - Macvoice
...
the next level music
tuturu tutu turu tuturu tutu turu tuturu tutu tuuru
napenda ivyo vidimpo na zuri lako tabasamu
kwanza uko simple kua nawe siishi hamu
yametimia maandiko baby penzi letu sio haramu
navimba nimepata jiko mwenzenu nalishwa vitamu
unapendeza ukilala nzuri yako color sifa kwa mama aliokuzaa
Mungu anaumba eeh naumeumbika aa
mi nakuahidi nitazikwa na wewe unanfariji mama nikiwa na uzuni tena niahidi utazikwa na mimi tena unifariji mama kwenye shida na raha zote
sikuchi acha iwaume
sikuchi acha iwaume
kwanza naanzaje kukuacha wewe baby naanzaje
nambie naanzaje kua mbali nawe baby naanzaje
we ni tabi nkiwa nawe napona
sipepesi macho navunda
baby baby navunda