Hautaki Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Hautaki - Paradise Tabasamu
...
Na Imani we ni mzimaa, huko uliko
Japo hatujaonana
Mwenzio bado furaha sina, hali sio Kama mwanzoni
Kipindi bado uoo, bado upo
Halikauki hili donda, tangu umekwenda, mwenzako faraja sioni
Yani kiza chatanda, umenizidi ujanja, umelitelekeza motoni
Siwezi kukuchukia, japo ninaumiaa
Ni wivu unanisumbua saana, haujui tu
Natanga tanga na njia sijui wapi niyatue mapenzi
Kichwa ulishanipasua hata ubongo unawaza tu ushenzi
Sinenepi napungua, 'ta nile vipi bado mwili siujengi ah
Yani naugua ugua, nikinywa pombe ndo kidogo, na spendi
Hautaki, moyo wangu umegoma, umegoma, umegoma
Kabisa hautaki, kupendwa kwingine umegoma, umegoma, umegoma,
Hautaki, moyo wangu umegoma, umegoma, umegoma
Kabisa hautaki, Kupenda kwningine umegoma, umegoma, umekataa
Sio sawa navopiga simu yangu unaikata
Sawa, kwangu limechina pendo limechacha
Bado nangojea, labda utarejea
Kuja kuniokoa, kwenye hii mashua
Natanga tanga na njia sijui wapi niyatue mapenzi
Kichwa ulishanipasua hata ubongo unawaza tu ushenzi
Sinenepi napungua, 'ta nile vipi bado mwili siujengi ah
Yani naugua ugua, nikinywa pombe ndo kidogo, na spendi
Hautaki, moyo wangu umegoma, umegoma, umegoma
Kabisa hautaki, kupenda kwingine umegoma, umegoma, umegoma,
Hautaki, moyo wangu umegoma, umegoma, umegoma
Kabisa hautaki, Kupenda kwningine umegoma, umegoma, umekataa
added by Renato 3R