Basi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Basi - Paradise Tabasamu
...
Oh mapenzi ni kweli yanaumiza yanaumizakwa anayetendwani kweli yanaleta jeraha
Oh mapenzi hayanaga tiba or tiba kwa anayetendwa
Aaah aah
Akiyamungu buriani kupendwa sitamani yani maana ni mtihani kuoenda pasipothamani
Yalonkuta mi sidhani kama tapendaga yani
Mi na mapenzi hatuendani ai ya ya ah ah
Si nilikuaga na mpenzi akanizingua
Wakamchimbua chimbua na washenzi
Akanikimbia kimbia ah
Nilikuaga na mpenzi akanizingua wakamchimbua chimbua
Na washenzi wakamnyakua wenye pesa zao wakamteka
Chorus
Ah basi oh mapenzi niache nimechoka mie ah basi
Niende zangu nakojua mie ah basi
Kupendwa sitaki nimekoma mie ah basi
Basi tena mapenzi mapenzi
(Beat).