Bando La Chuo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Bando La Chuo - Jizzo Monster
...
is another one, take five now
JMBP, Jizzo Monster don't don't stop the beat, Machord you kill them!
verse1:
Mwendo wa kuwasha Bando, tumechangamka tuko na wapambe,
waiter Kama tulivyo roho mbaya wakapige moyo konde,yani tingisha Bebe watu wako bwi wanaburudika aisee,
wanachangamka kinoma wanarukaruka mpaka wanadeka,viwanja vikali cheki vimewakaa,Waka,tunakimbizakimbiza kila mwaka,tunaficha shida tunakula bata,
warembo kibao hapa wamenasa,
tunawapa kitu roho inataka,
waiter ongeza Tena Bando la kibabe tunavunja meza,
tule tule tule tule tuleee,tunywe tunywe tunywe tunywe tunyweee,
Niko speed mfukoni nama dollar,
watoto wazuri kwangu wanajichora (eeeh! oooh! naitembeza bakola)×2
Chorus:
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunawadatishatu lemme say
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunawadatishatu lemme say
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunaburudishatu tuna dance Bando la chuo bando la chuo (bando)bando la chuo bando la chuo (bando)bando la chuo bando la chuo (bando) bando la chuo bando la chuo (bando)
Instrumental;
verse2
Hapa kupari usiku kucha,tumekuja Ile kibabe kuwarusha, brother and ma sister tunawarusha, mabibi na mabwana leo wanakesha,wanatetematetema Jizzo amewakosha, (haaii) wamechangamka yani boomshakaraka,wanacheza wanafurai wanaruka majoka, (haaii) kandamiza mpaka bwi kishawaka, wanadata kwa hizi flow wanaruka,watu kibao wote wako tungi kinoma, on fire check yuko tungi kinyama,mpe bapa mwendo wa kusing laga laga, na kujiachiazi kamatia totozi Kama unavumba, Kama huna kitu basi unavunga, ukifanya fujo basi unagongwa, eeh! basi unagongwa.
Niko speed mfukoni nama dollar, watoto wazuri kwangu wanajichora, (eeeh! oooh! naitembeza bakola.)×2
Chorus
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunawadatishatu lemme say
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunawadatishatu lemme say
Ooooh si tunapigatu sio mpaka sikukuu tunaburudishatu tuna dance Bando la chuo bando la chuo (bando) bando la chuo bando la chuo (bando) bando la chuo bando la chuo (bando) bando la chuo bando la chuo (bando)
bridge;
kula gambe kula gambe kula gambe(acha watu wavimbe) kula gambe kula gambe kula gambe (acha watu wadancee) kula gambe kula gambe kula gambe (acha watu watambe) kula gambe kula gambe kula gambe (tingisha Bebe).
Touch sound Touch sound Touch sound