Pesa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Pesa - Jizzo Monster
...
Pesa Kwanza manoti,
Cash cash
tunataka hizo cash.
Machord you kill them!
Chorus.
Nani hapendi pesaa,
pesaa, pesaa(kila kitu pesa)
Nani hapendi pesaa,
pesaa, pesaa (si mnaonaee!)
Tunataka pesa,
pesa, pesa(weachawee)
Tunataka pesa,
pesa noti pesaa.
verse1
Unataka pisi kaliii,
kumbe huna hata noti,
Unaleta itikadi za kipimbi,
(acha nongwa)
Umekula lambilambi,
kwani vipi brother Kaka
,naskia unaiba misibani,
mchungaji anafuga kitambi,
hapo vipi hapo sawa??! (What?)
Ustadhi anafanya madhambi,
hapo vipi hapo sawa??! No!
Eti wanajidai kutoa mapepo
kumbe wanataka Sadaka!
(pepo tokaa)
Wanamwaga noti
mwaga mapene,
Club wanabanjuka
Kama wako mbele,
wanacheza Kama pellee,
Chorus"
Nani hapendi pesaa,
pesaa,
pesaa (kila kitu pesa)
Nani hapendi pesaa
pesaa pesaa (si mnaonaee
Tunataka pesa
pesa pesa(we achawee)
Tunataka pesa
pesa noti pesaa
verse2
Unakuja Geto kwa mapooozii
,kumbe shida yako noti,
my dear ngoja nisake manoti
,Staki joke nishapiga lock,
Wanawake mnapenda
kudanga(danga)
kisa mmeona cash,
Nimekosa Uhuru kwa mwanangu,
Mmemficha mbali mtoto wangu,
Eti kisa Mimi Sina Mali,
money power tuzisake(eeeh)
Mpaka tuzikamate(eeeh)
wakinuna wanune
walitutosa acheni wadate
Everybody say
money respect
manigga
Michongo inanipa power
nawadondosha mambwiga
Tunasaka pesaa mamilioni
eeeh (milioni)
usiku tunakeshaa mamilioni
eeeh tunasaka (milioni)
Chorus:
Nani hapendi pesaa
pesaa pesaa (kila kitu pesa)
Nani hapendi pesaa
pesaa pesaa (si mnaonaee)
Tunataka pesa
pesa pesa(we achawee)
Tunataka pesa
pesa noti pesaa
"money power tuzisake
mpaka tuzikamate"
wakinuna wanune
walitutosa acheni
wadate datedate datee"
Nani hapendi pesaa
pesaa pesaa (kila kitu pesa)
Nani hapendi pesaa
pesaa pesaa (si mnaonaee)
Tunataka pesa
pesa pesa (we achawee
Tunataka pesa
pesa noti pesaa
Tunataka pesa
pesa pesa
Tunataka pesa
pesa noti pesaa
instrumental
Machord you kill them