One Centimeter Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
One Centimeter - Jaguar
...
usiende mbali nami hata one centimeter away
Away from me
usiende mbali nami hata one centimeter away
hata one centimeter away
ningeweza macho yangu yangekupiga picha
nijiweke milele moyoni mwangu
nikuone kila time moyo unapodunda, moyo unapodunda, moyo unapodunda
Ningeweza ningekuficha kama siri
Mapenzi yetu iwe kati yetu wawili
Mapaparazi wasikawahi kutuona,(eeh) kutuona,kutuona
Wacha nikulinde kila siku kama komando
CHORUS
usiende mbali nami hata one centimeter away
away from me......hata one centimeter away
ningeweza ningeondoa huzuni kwako
usiwe na hofu siku zote maishani mwako
ningeweza ningeondoa wasiwasi kwako
usiwahi jali siku zote maishani mwako
Ningeweza ningefuta machozi yako, machozi yako, machozi yako
usiwahi lia siku zote maishani mwako, maishani mwako, maishani mwako
Wacha nikulinde kila siku kama komando
chorus
usiende mbali nami hata one centimeter away
away from me,hata one centimeter away