Kipepeo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Kipepeo - Jaguar
...
Tazana kule(x3) 2metoka,
Tazama kule(x3) 2metoka.
Chorus
Nikiwa nawe ctembei, nakuwa 2 kipepeo.
Na pepea(x2) juu y mpnz unayonipa.(x2)
Verse 1
Nataka leo nitangaze nixeme kama c ww ctak mwngn n huwapa y wabaki waxeme ni uchawi Mummy uxhaniroga.Mpnz unayonipa hakuna mwngn axhawahi nipa, kama c ww ctak mwngn(x2).Ctakutexa ili. unililie, ntaku2nza ili unizalie.Kama samaki crud nyuma, nikiwa nawe crud nyuma eee...hh!!
Chorus
Nikiwa nawe ctembei, nakuwa 2 kipepeo.
Na pepea(x2) juu y mpnz unoyonipa.(x2)
Verse 2
Maombi nilioomba yamefika, niliyemwomba Mola amenipa, ntamfuata kama kivuli kokote aendako.Maombi nilioomba yakafika, niliyemwomba Mola amenipa, ntamfuata kama kivuli kokote aendako.Ctakutexa ili unililie, ntaku2nza ili unizalie.Kama samaki crud nyuma, nikiwa nawe crud eee...hh!!
Chorus
Nikiwa nawe ctembei, nakua 2 kipepeo.
Na pepea(x2) juu y mpnz unayonipa.(x2)
Tazama kule(x3) 2metoka
Tazama kule(x3) 2metoka
Tazama kule(x3) 2metoka
Tazama kule (x3) 2metoka
Kule(x6) 2metoka.(x2)
Eee...hh!! Kule 2metoka.(x2)
Eee...hh!! Na pepea.(x8)
Main Switch!!