Amini Nakwambia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2007
Lyrics
Amini Nakwambia - Angela Chibalonza
...
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana anao, uzima
Dhambi zangu zilichukuliwa
Deni zangu zote zilipwa
Wote waliomwamini Bwana, wanao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana anao, uzima
Ijapo ningekuwa maskini
Ijapo ningekuwa mkosaji
Neno la furaha la Mwokozi, ninao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao
uzima
Na sina shaka nitamwamini
Yeye ajaye kwake hatupwi
Amwaminiye tuma habari, tunao uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao
uzima
Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima