Rasta Man Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Rasta Man - Sanaipei
...
Mr. Irie this one is coming your way, eith so much love from Sanaipei oooh
Sijawai ona mwanamme kama yeye, Lord
Na bila shaka yeye ni kumbe, jajajaja
Ngozi rangi ni maji ya kunde, na inang'aa, oooh
Na mwili wake ni ule wa kiumbe amekaa shujaa, ooohh
Na kila anpo tabasamu ni kumbu kumbu of our love you got me asking so ?
Na kile anacho ni kitamu ni kumbu kumbu of our love you got me asking so ?
Marafiki wananena, mwanaume wa that nature
Atakuchezea chezea but oh noo
Rasta man yeah, yunice kila design
Rasta man yeah, siwezi mind, nikiwa naye all my life Lord (all my life) ooooh
Wanasema yule wa DL na entertain that one thing
Na yule wa dago atakupigisha macorner tu
Yule wa Kahawa takuacha sawa akikudanganya kila hour you're his only lover
Na yule wa Majei always on a ?, na yule wa Ruai always high n high
He'll never give you time dont you see the signs but its all a lie
My rasta man would never break my heart, oooh
Na kila anapo tabasamu, ni kumbu kumbu of our love you got me asking so ?
Na kila anacho ni kitamu, ni kumbu kumbu of our love you got me asking so ?
Marafiki wananena, mwanaume wa that nature atakuchezea chezea but oh no
Rasta man yeah, yunice kila design
Rasta man yeah, siwezi mind, nikiwa naye
Rasta man yeah, yunice kila design
Rasta man yeah, siwezi mind, nikiwa naye
All my life, noooh, ooooh (all my life) yeah