Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2013

Lyrics

Geti Kali ft. Jua Kali - Sanaipei

...

Mtoto Wa Geti Kali Mimi huwezi kunifaidi baby

ikiwa wani mind kweli basi uhakikishe una Mali

Eti wataka nikufuate wapi

Eti tuende huko nyuma ya Calif yaonekana hatuelewani mpaka uhakikishe una Mali

Wasema wanipenda na unataka tuwe sote siku zote za calendar lakini tutateta

Maanake pahali Niko Mimi sidhani utaweza

Nimezoea kupewa chochote ntakacho

Wakati ninaposema usihisi pressure

Lakini ni afadhali nikuambie na mapema

Ilikuwa siwezi kuomba

Nakuwa sipendi kukopa

Na sito jiseti kusota

Usiseme Mimi sikukuonya

Ya kwamba

Mtoto Wa Geti Kali Mimi huwezi kunifaidi baby

ikiwa wani mindi kweli mpaka uhakikishe una Mali

Eti wataka nikufuate wapi

Eti tuende huko nyuma ya Calif yaonekana

hatuelewani mpaka uhakikishe una Mali

Wewe waona na jijenga hadi watu wanasema cheki dem amejibeba so nikipi kipya ambacho utanipa na mimi na siwezi jipa

Si ati nakutesa No nihali ya maisha So ndugu yangu makinika

Naona afadhali nikuambie na mapema

Ilikuwa siwezi kuomba

Nakuwa sipendi kukopa

Na sito jiseti kusota

Usiseme Mimi sikukuonya

Ya kwamba

Mtoto Wa Geti Kali Mimi huwezi kunifaidi baby ikiwa wani mind kweli basi uhakikishe una Mali

Eti wataka nikufuate wapi

Eti tuende huko nyuma ya Calif yaonekana hatuelewani mpaka uhakikishe una Mali

Mtoto mrembo Mtoto Wa Geti kali toka huko juu kuja utulie na Jua Kali

Najua kwenu mko sawa mko na Mali

Lakini nikuonyeshe yangu yangu ya mtaani

Wacha gari Leo panda matatu jua imewaka nitakuchulia barafu ya ukwaju

Lunch ya nguvu bakuli ya supu dessate ya Leo ni

mahindi na njungu sose ya nguvu Jo moja wazimu bado utamaliza na uji ya ndimu

Hakuna kebab hapa piga dondo hakuna pizza hapa piga muhogo

Usione ya kutoka hapa ni kawaida wacha tutie

raudi mtaa tukishikisha

Hii ndio base si hutulia pale ndio grao si hugusia

Majioni pale movie ni mbao lazima tutoke na juu tukitokewa na karau

Mtoto Wa Geti Kali Mimi sikutishi hivi ndivyo mtaani si huishi

Mtoto Wa Geti Kali Mimi huwezi kunifaidi baby ikiwa wani mind kweli basi uhakikishe una Mali

Eti wataka nikufuate wapi

Eti tuende huko nyuma ya Calif yaonekana hatuelewani mpaka uhakikishe una Mali

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status