Rafiki Mwema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Rafiki Mwema - Erick Smith (KE)
...
Yes, Kuna rafiki wengi hapa duniani
Lakini hakuna rafiki awezaye kulinganishwa na Yesu
Hahaaaa yaaah!
*
Tulipokutana nilikuwa nakujitaji
Ukawa jibu kwa mahitaji yangu
Ukanipenda mimi nikatosheka
Ukanifanya mboni ya jicho lako
Nikiwa nawe mimi Sina hofu kamwe
Bwana Yesu wee rafiki mwema
*****
Nimempata rafiki mwema
Upendo wake hauna tahwishwi
Akikupenda amaanisha
Wakati wa shida wakati wa raha hawezi kuacha
Nimempata rafiki mwema
Upendo wake hauna taahwishwi
Akikupenda amaanisha
Wakati wa shida wakati wa raha hawezi kuacha
Yeleelee eelee Yesu rafiki mwema
**
**
Wote waliompokea Wana raha, wana Amani
Wametulia Hawana wasiwasi
Nimeona wajane mayatima na
Waliokata tamaa wakiimba nyimbo za furaha
Ndani yake tunaishi tunaenenda
Tuna uhai Yesu rafiki mwema
Ndani yake tunaishi sisi tunaenenda
Tuna uhai Yesu rafiki mwema
Ndani yake Yesu tuna Amani na raha
Tunaenenda
Oh Yesu we Yesu e
Haleluya
Yesu rafiki mwema
Nimempata rafiki mwema
Upendo wake huna tashwishi
Akikupenda amaanisha
Wakati wa shida wakati wa raha hawezi kuacha
Yesu rafiki mwema
Nimempata rafiki mwema
Upendo wake huna tashwishi
Akikupenda amaanisha
Wakati wa shida wakati wa raha hawezi kuacha
Iyelele, yele yele yelele
Yesu rafiki mwema
Yelele Yesu rafiki mwema
Yesu we