Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Tegemeo - Erick Smith (KE)

...


Ahaa Ndugu yangu mpendwa

Katika shida zako zote

Mtegemee Bwana

Wamtegemeao Bwana ni kama mlima Sayuni

Usiotikisika

Bwana amesema kwamba hawezi kukuacha(Yesu ee)

Katika shida zako

Daudi anasema nilikuwa kijana

Na Leo nimeshazeeka

Sijawahi kuona mwenye haki akiachwa

Wala uzao wake ukiomba chakula

Daniel katupwa katika tundu la simba

Meshaki , Shadrak na Abednego katika tanuru la moto

Bwana hakuwaacha

Ndugu hata wewe ukiwa katika shida

Jua kwamba Bwana yu pamoja nawe

Hawezi kukuacha Yesu ee

Wamtegemeao Bwana ni kama mlima Sayuni

Usiotikisika

Bwana amesema kwamba hawezi kukuacha

Katika shida zako

Wamtegemeao Bwana ni kama mlima Sayuni

Usiotikisika

Bwana amesema kwamba hawezi kukuacha

Katika shida zako

Maandiko yanasema

Alaaniwe mtu yule anayemtegemea mwanadamu

Na moyoni mwake amemwacha Mola

Ole kwa mtu yule

Bibilia inasema abarikiwe mtu yule anayemtegemea Bwana

! !

Nijapopita katika uvuli wa mauti

(sitaogopa maana Bwana yu pamoja nami)

Wamtegemeao Bwana ni kama mlima (usilie ndugu yeye yu pamoja nami) Sayuni

Usiotikisika

Bwana amesema kwamba hawezi kukuacha

Katika shida zako

Wamtegemeao Bwana ni kama mlima Sayuni

Usiotikisika

Bwana amesema kwamba hawezi kukuacha

Katika shida zako

====

Bwana wa mabwana

Kimbilio langu

Hakuna mwingine

Aliye kama wewe

Bwana wa mabwana

Kimbilio langu

Hakuna mwingine Yesu ee

Aliye kama wewe Yesu ee

Bwana wa mabwana

Kimbilio langu

Hakuna mwingine

Aliye kama wewe

Anayetulinda, anayetupigania

Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Jehova Shama Jehova jire Mungu mponyaji kwetu hakuna mwingine aliye kama wewe

Bwana wa mabwana

Kimbilio langu hakuna mwingine

Aliye kama wewe

Bwana wa mabwana

Kimbilio langu

Hakuna mwingine

Aliye kama wewe

Wana Israel Kwa nchi ya Misri

Walipoteswa naye Farao

Walimlilia Mungu Bwana

Iyooooo!

Mungu Muweza yote usifiwe

Mungu Muweza yote uinuliwe

Mungu Muweza yote usifiwe

Mungu muweza yote uinuliwe

¶¶

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status