umebadilika Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
umebadilika - Tone Baba
...
oya tone baba( ayee ohh ahh)
(zungu beat)
ona nilvyo kongoroka poromoka
Ila wewe kwako barida
moyo ulivyo nyorodoka momonyoka
Ila kwako barida(ahh)
palipotwama panazamisha
chakuazima akisitiri KATU
palipo tundu panavujisha
na chamtu uliwa na watu
nmesubiri kumbakumbata
iv umenipa libwata
mana Yani nashidwa hata
kusahau my love
nmesubiri kumbakumbata
iv umenipa libwata
mana Yani nashidwa hata
ooooh
ulivyo badirika kabisa ata siamini
nakumbuk ulikulaga yamini
umebadilika kabisa ata siamini Ayah
ulivyo badirika kabisa ata siamini
nakumbuk ulikulaga yamini
umebadilika kabisa ata siamini Ayah
parampa pampalampa pararampa paparampa parampa paparampa paaah
maritina eeeh mama maritina ooh
nogenda noangaika ninzi
aloguse kugulie nan
maritina ooh mama maritina aah
napanilipo nishajifia
waleo wakesho(waleo wakesho)
nmesubiri kumbakumbata
iv umenipa libwata
mana Yani nashidwa hata
kusahau my love
nmesubiri kumbakumbata
iv umenipa libwata
mana Yani nashidwa hata
ooooh
ulivyo badirika kabisa ata siamini
nakumbuk ulikulaga o
ulivyo badirika kabisa ata siamini
nakumbuk ulikulaga yamini
umebadilika kabisa ata siamini Ayah
zilongo mbali zitaendwa mbali umebadilika
zilongo mbali zitaendwa mbali (umebadilika)x2
(umebadilika )x3