Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2011

Lyrics

Jina La Yesu - Rose Muhando

...

Rose Mhando_Jina la Yesu lyrics

Habari njema jina la Yesu

Raha yangu jina la Yesu

Uzima wangu jina la Yesu

Amani yangu jina la Yesu

Eeeee

Ni jina jema kwa watu wote

Linasisimua kulisikia

Linaleta raha kulitamka

Linafanya mambo ukiliamini

Jina walilolikataa wengine limetujengea heshima

Jina jina la Yesu jina

Jina la Yesu ee kwa wagonjwa jina

Jina kwa masikini jina

Jina la Yesu ee kwa walioachwa jina


Jina kwa walemavu jina

Jina nalipenda jina aaah

(Jina libarikiwe)

Jina libarikiwe jina aaah


Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Jina x4

Jina nalipenda jina aaah

(Jina linaokoa)

Jina libarikiwe jina aaah

(Jina linafariji)

Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Hatukuwa hivi kama mnavyotuona leo

Tulidharauliwa na kukataliwa

Kwenye jamii yetu tulisahauliwa

Tulipowauliza swali walitukemea

Tulipotoa hoja walitudharau

Lakini Yesu mwenye hurumaa

Akayaona mateso yetu akatukumbatia

Jina jina la Yesu jina

Jina la Yesu ee kwa wamama jina

Jina kwa masikini jina

Jina la Yesu wee kwa walioachwa ehee

Jina nalipenda jina aaah

(Jina libarikiwe)

Jina libarikiwe jina

(Jina liheshimiwe)

Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Lelele x3

(Jina jina la Yesu)

Jina nalipenda jina aaah

(Jina nalipenda sana)

Jina libarikiwe jina aaah

(Jina liheshimiwe kwa watu wote)

Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Instruments…

Jina kwa wagonjwa ni afya kwao

Kwa walio dhaifu ni nguvu kwao

Kwa waliosahaulika ni tumaini jipya

Jina walilolikataa wasomi limetujengea heshima ee

Jina aah jina la Yesu jina

Jinaa aah kwa wamama jina

Jina la Yesu weee kwa yatima jina

Jina mama kwa waimbaiji heeee

Jina nalipenda jina aaah

(Jina la Yesu)

Jina libarikiwe jina aaah

( jina ni uzima wetu)

Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Lelele x3

(Jina la Yesu weee)

Jina nalipenda jina aah

(Jina nalipenda sana)

Jina libarikiwe jina aaah

(Nasema liheshimiwe)

Jina liheshimiwe jina jina la Yesu

Instruments…

Jinaaa aaah


(Jina eee)

Jinaaa aaah

(Jina la Yesu weee)

Jina aaah

(Mamaaaa)

Jina jina la Yesu

(Japo nimeona majina mengi duniani lakini hili ni kiboko)

Jina aah.

Jina aaah

(Jina la Yesu weee)

Jina aaah

(Jina lenye dhamana)

Jina jina la Yesu

(Mwenzenu nimesikia majina mengi lakini hili mwanzo mwisho)

Jina aaah

(Come on..)

Jina aaah

(Jina la Yesu weee)

Jina aaah

(Mamaaaa)

Jina jina la Yesu

Lelele x3

(Jina hili ni jina kubwa)

Jina aah

(Jamani jina ee)

Jina aah

(Jina la Yesu ee)

Jina jina la Yesu

(Mamamamamamama jina bonge la jina)

Jina aaah

(Jina la Yesu weee)

Jina aaah

(Mwanangu eee)

Jina aaah

(Jina la Yesu wee)

Jina jina la Yesu

(Nimesikia majina ya vigagula katika dunia lakini hili mwanzo mwisho)

Jina aah jina aah

(Jina lelele)

Jina aah jina la Yesu

(Mamama mamama lelele bonge la jina)

Jina aaah

(Zinga)

Jina aaah

(Jina linabariki)

Jina aah

(Jamani ee)

Jina jina la Yesu

(Hatakama kwa wengine halifai lakini kwangu nimelipandisha chati)

Jina aah jina aaah

(Jina hili ni kuu)

Jina aaah

(Jina eheee)

Jina jina la Yesu

Instruments…

(Mamama x2 )

(lelele x6)

Bonge la jina

Jinaa aah

(Mamama ee)

Jina aaah

(Jamani jina ee)

Jina aah

(Jinaaaa)

Jina jina la Yesu

(Jina lina herufi chache lakini linafanya mambo makubwa)

Jina aaah jina aaah

(Acha nilipende)

Jina aaah

(Jamani)

Jina aaah

(Eheee)

Jina la Yesu.

Lyrics by ess.Ham


Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status