Naanzaje (Origianal) ft. Lody Music Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Naanzaje (Origianal) ft. Lody Music - Ronze
...
paralililalalilaooohoo majunun oh lailah ...
mocco
MWANZO niliteswa na mapenzi
UMEKUJA umenifuta machozi
UKANIFANYA nipende kuchati
KWA mesej zako zenye Tenzi
KIRINGE kimeisha ota mizzi
KAMBARE kanaswa na gugu maji
SA kwann tusiweke WAZI
NAUMESEMA nipogo tu Mimi
PENZILETU msururu wa siafu
TUMEZOEA kufatana
HAINA HAJA hata ya rufufu
WENYEWE tunaelewana
WEWE mdarasini me karafuuu
NIKIKUACHA nitapata Laana
SIUNAJUA me kwangu pakavu
VICJE vikaumana
.......................,..............
umeshika dini Hadi nakuimbia kiarabu
hata nikikushka nahic napata SWAWABU
ukisema niandke sifa ntajaza kitabuu
maana naanzaje kukuacha
ooooh beby, naanzaje kukuacha x4
lody music on this one
NIKUITE jina gan majnameng yamesha wahiwa oooh my love, habibi, kipenzi, nyongo mkalia ini
UKWELI natamani nyumbani kwenu nikabarikiwa oooh my loo waulize wazazi wanasubiri nini
MAANA mbele ya jina Lako Kuna jina Langu
Sasa naanzaje ku-cheat
MGANGA wako anadawa zangu
Sasa naanzaje
VILEVILE maaa kwenye moyo wako Kuna Siri zangu Ukiniacha ntaumbuka
MWILINI MWAKO Kuna mbegu zangu
nieleze naanzaje
NATABIRI Ukiniacha ntapata kghazabuu
kwann my love nimekuzoea labda we naanzaje..
MAANA NAANZAJE KUKU ACHA X4