Dawa Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Dawa - Ronze
...
dawa
dawa
oh mama ongeza
tena wajue ndo umeniweza
wayapunguze kuyaeneza
ubinadamu ni kuteleza
ata kam ukinikosea sema I'm sirry
aiih wewe
iyo ndo tiba yangu
aah
hiyo ndo tiba yangu
aah
si unajua mwenzako nina moyo mdoyo
sijazoea maymivu
nakama nikiteleza ntakuomba radhi unisamehe
ikija mvua, baridi, sijazoea msoto
ntakosa utulivu
utanipa pressure, utanikondesha
nisipone
we yangu dawa (dawa) oh baby dawa (dawa) × 4
siamini kuteseka, ikiwa wewe upo
moyo wangu matika
mi mtumwa wako
oh baby nikokote, nikokote
unipeleke unavyotaka nipeleke
wanidondoshe, uniokote
mi kwako kina yaani mteke mteke
si unajua mwenzako nina moyo mdogo
sijazoea maumivi
na kama nikiteleza ntakuomba radhi
unisamehe
ikija mvua, baridi, sijazoea msoto
nitakosa utulivu
utanipa pressure
utanikondesha
nisiponee
we yangu dawa (dawa) oh baby dawa (dawa) × 4
si unajua mwenzako nina moyo mdogo
oh mama ongeza
dawa × 3