Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2022

Lyrics

Nimeshindwa ft. Darassa - Tunda Man

...

My life without you iam lost away

Nishajaribu kuimba nyimbo zote

Ndo nangoja miujiza idondoke

Oyaaa oyaa

Katika vitu vyakucheza

navyo usicheze na hisia

Vitakupeleka kubaya ndugu yangu nakwambia

katika vitu vyakucheza

Navyo usicheze na hisia za mtu

Wengi wameenda janah kisa mapenzi wameuwa mtu

Kwenye mapenzi mbwana usikose dear

Utakuja jutia wengi wameshalia

Umeona bwana wakwangu amekimbia

Kutwa na mlilia kwa uchungu

Baby wako nampa asilimia 100

Watu wanaomfukuzia wanakuchukulia

Nyatu nyatu wanaomnyatia vidola mia mia

Vya kwa shunguu

Nimeshindwa!

Nimejaribu kukuweka mbali

Nimeshindwa!

Mdomo nimetamka sikutaki ila moyoni

Nimeshindwa!

Eti nisikuote na nisikufikirie mwenzako

Nimeshindwa!

Kuwambali na wewe kwenda mbali na wewe

Nendakoo

Nimeshindwa!x2

F*ck open the door

Gone see before

Labda si jogging si kifu

sasa najitesa roho

Mwili maumivu komandoo

Brief

Twende pole pole jaribu kuongea na watu

Umepata sana msaada sana polisi

Labda na stuck siwezi kufanya chochote

Papapa you shut my heart

Iam dead man walking

naangalia wapi vipande vya moyo wangu hata niokote

Nashangaa ni juingaunga

natafuta njia nitoke

Nimeshindwa!

Moyo wangu ndio invest

Juwa na wewe i will do my best

Bado uwezo sina

Nimeshindwa!

Nafanya kila kitu upendeze wewe napauka mimi ungae wewe na pesa za madavu

Nimeshindwa!

Eti nisikuote na nisikufikirie mwenzako

Nimeshindwa!

Kuwa mbali na wewe kuwa mbali na wewe niendako

Nimeshindwa !

Touch!!

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status