Hata Hatulingi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hata Hatulingi - Tunda Man
...
Simba hata hatulingi
Mmh simba hata hatulingi
Simba wee hata hatulingi
Tumeingia makundi tumempiga mtu nje na ndani
( Hata hatulingi )
Goli bora africa lipo simba sakho weee
(Hata hatulingi)
Tunakocha hajafungwa mechi zote anaitwa mugunda
(Hata hatulingi)
Kuna lichezaji linafunga hilo linaitwa phiri
(Hata hatulingi)
Kuna chama mfate akutue aibu
(Hata hatulingi)
Utulivu wake mabeki lazima wapate tabu
(Hata hatulingi)
Kuna rastaman anaitwa kibu
(Hata hatulingi)
Akikushambulia kumkaba wala husijaribu
(Hata hatulingi)
Wana simbaaaaaaa
(Hata hatulingi)
Heehe Simbaa
(Hata hatulingi)
Wana simbaaaaaaaaa
(Hata hatulingia)
Simba simba simba
(Hata hatulingi)
Tanzania one mnamjua (manura)
Piga chini piga juu ananyakua
Anamatuzo kibao amechukua
Wana simba tunajua
(Hata hatulingi)
Tuna kapombe mwenda shabalala
(Hata hatulingi)
Wakikukaba wanakukaba kama wanauwa
(Hata hatulingi)
Kuna inonga baka anakukaba nakupakata
(Hata hatulingi)
Ata akienda manchester wallah namba anaipata
(Hata hatulingi)
Onyango kenned mkude mzamiru kanuti
(Hata hatulingi)
Hatutingishi matiti wanasimba wote tunapiga salut
(Hata hatulingi)
Opra baba hiyo speed na mishuti
(Hata hatulingi)
Peter banda malawi wana kipi
(Hata hatulingi)
Wana simbaaaaa
(Hata hatulingi)
Hehee Simbaa
(Hata hatulingi)
Wana simbaaaaaaaaa
(Hata hatulingi)
Simba simba simbaa
(Hata hatulingi)
Ooh baba oyaaah
(Hata hatulingi)
Eeh tuna Jezi nzuri wee
(Hata hatulingi)
Boss kijana Mo dewj
(Hata hatulingi)
Wanaume mnazidiwa na mdada babra jama
(Hata hatulingi)
We babra utatuuwa weee
(Hata hatulingi)
Jamanii
(Hata hatulingi)
Jamani jamani jamani simbaa
(Hata hatulingi)
Jama jama jama simba hii rahaa
(Hata hatulingi)
Raha tunazopata mngejua jama
(Hata hatulingia)
Hahahaahahaha
(Hata hatulingi)
Rangi nzuri rangi nzuri
(Hata hatulingi)
Simba nzuri raha jama
(Hata hatulingia)
Hata hatulingi
Hata hatulingi