Kama ningeweza Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2022
Lyrics
Baby when i look at you Nakuona upo juu you're too fine
I don't move without you
Vile umeshika boo
I go die
Kwani jina gani nikuite
Utapoenda twende wote
Nitasimama sintokwama
Sema gift gani nikuletee
Au dunia nikupatie
Sema mama
Nishazama sijiwezi
Napenda unavocheza jeje
Sauti kinanda nesa mdede
Muone babu juma wima dede
Ongeza nyama yote ntengee
Napenda unavocheza jeje
Sauti kinanda nesa mdede
Muone babu juma wima dede
Ongeza nyama yote ntengee
Kam ningeweza kam Ningeweza ningekupa moyo Natamani kuweza nathamani Kuweza Ningekuwa royal kama Ningeweza kama ningeweza Ningekupa maisha na Nathamani Kuweza nathamani Usingekuwa mnyonge tena
Mapacha wananafana san Kumbi kumbi wanafatana tuwe Sare kama wao nipe penzi Zaida Ya jana nikufanye mama la Wana sawa nitawale mi na kiu
Ooo baby when i look at you
Nakuona upo juu
You too fine
Tena.Napenda unavocheza jeje
Sauti kinanda nesa mdede
Muone babu juma wima dede
Ongeza nyama yote ntengee
Napenda unavocheza jeje
Sauti kinanda nesa mdede
Muone babu juma wima dede
Ongeza nyama yote ntengee
Kam ningeweza kam Ningeweza ningekupa moyo Natamani kuweza nathamani Kuweza Ningekuwa royal kama Ningeweza kama ningeweza Ningekupa maisha na Nathamani Kuweza nathamani Usingekuwa mnyonge tena