Tanzania imara Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ayee ayee tanzania ayee ayee tanzania Tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania tanzania nchi yangu najivunia tena nchi yenye amani najivunia uoto wa asili upo tanzania vivutio vizuri vya kitalii vyipo tanzania tudhumishe mila watanzania tusiache tamaduni zetu watanzania tusiache tusherekee kwa pamoja sikukuu yetu ya uhuru tusherekee kwa pamoja siku kuu ya muungano.
Jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania.
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
Mwenge wetu moto moto
Asili ya mtanzania ni kuchapa kazi tanzania imara tanzania shupavu wote watanzania tuipige kazi tu tuijenge misingi ya nchi yetu futa maneno sugu ya kuchochea utawala tumuunge rais wetu mkono maana yeye ni dira.
Jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania jivunie jivunie kuwa mtanzania imara kuwa mtanzania Imara ayee ayee mimi mtanzania.
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
Mwenge wetu moto moto
Moto moto oooh
Tanzania moto moto moto
Moto moto oooh
Mwenge wetu moto moto
Leo shangwe leo mlokaa chini mwagoja nini tanzania happy happy mlokaa chini mwasubiri nini
Dizooo ,mama samia suluhu raisi wa tanzania wewwe baba kasimu majaliwa waziri mkuu wa tanzania
Tanzania number one