Bado ft. Deno Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Bado ft. Deno - Bahati
...
mmh niaje Denno
vipi Bahati tena
EMB Records
yeah
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza sipo niambie bado
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza kifo niambie bado
nikumbushe bado
niambie bado
nikumbushe bado
mwanao bado oooh
nimesoma digiri, na kazi bado ( bado)
mke wangu anadanga, umaskini bado ( bado)
vibarua Eastleigh, na kazi bado ( bado)
nyumba nayo ya kupanga, elimu zero ( bado)
mama analia cancer, matibabu bado
heri yule tajiri, atatibiwa ng'ambo
baba lini machozi yatafika mwisho
fanya hima ushuke tumefika mwisho
chorus
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza sipo niambie bado
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza kifo niambie bado
nikumbushe bado
niambie bado
nikumbushe bado
mwanao bado
verse 2
mwanao nimemiss kucheka, vile vifunny funny vya wenzangu
natamani hata kuona, nijue sura ya mke wangu
pia mwezi na nyota nione, ikichomoza na kuvutia
alafu isitoshe, shida zimeniandama, aah aah
kodi sijalipa bado
jirani anachoma nyama, aah aah
angalau hata mboga bado
si eti kwamba nasahau, unaniwaziaga mema bado
ila mwisho nimefika, lakini nakutazamia, bado
chorus
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza sipo niambie bado
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza kifo niambie bado
nikumbushe bado
niambie bado
nikumbushe bado
mwanao bado
mwanao nimemiss kucheka vile vifunny funny vya wenzangu
natamani hata kuona, nijue sura ya mke wangu
mwanao nimemiss kucheka vile vifunny funny vya wenzangu
natamani hata kupata baraka nifanane na wenzangu
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza sipo niambie bado
kuna wakati nafika mwisho niambie bado
kuna wakati nawaza kifo niambie bado
nikumbushe bado
niambie bado
nikumbushe bado
mwanao bado oooh