Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2010

Lyrics

Nabii Isaya - Angela Chibalonza

...

Nabii Isaya alinena kwa watu wote(2)

(Mkono wa Bwana si mfupi kwa kutubariki

Lakini dhambi zetu ndizo zinatutenga naye)*2

(Unapotembea aah jiulize ndugu)*2

Maana yote ufanyayo ooh Bwana anakuona*2

(Anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema)*2

(Maana sisi sote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wake Mungu)*2

(Maana maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu)*2

(lakini maombi ya mwenye haki ni kama manukato)*2

(Unapotembea aah jiulize ndugu)*2

(Maana yote ufanyayo ooh Bwana anakuona)*2

(Anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema)*2

Mungu anatafuta mtu atakayesimama ili amtume kuokoa taifa lake

Bwana anatafuta mtu atakayesimama ili amtume kuokoa taifa lake

(Jamani wapendwa tusimame tumfuate Bwana Yesu)*2

(Na sisi sote tutashinda tutaokolewa)*2

(Unapotembea aah jiulize ndugu)*2

(Maana yote ufanyayo ooh Bwana anakuona)*2

(Anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema)*2

( Unapotembea aah jiulize ndugu)*2

(Maana yote ufanyayo ooh Bwana anakuona)*2

(Anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema)*2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status