Amenisamehe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2010
Lyrics
Amenisamehe - Emachichi
...
yesu afariji
amenisamehe (amenisamehe)*2
katika jina lake yesu amenibariki*2
ameniokoa (ameniokoa)*2
katika jina lake Yesu ameniokoa*2
amenifariji(amenifariji)
amenifariji jamani(amenifariji)
katika jina lake Yesu amenifariji
anipa amani(anipa amani)*2
katika jina lake Yesu anipa amani*2