Jajimento Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Jajimento - Mloccoh Songzx
...
na japo nukta na saa vinahesabika,
bado sielewi,
Yananipita mawio,
Naona bado muda hautembei,
Yamegeuka gharika,
Nakunywa na silewi mwenzako,
Nafosi iwe ndio mahali pa No,
Yako Nia nia,
Ulipania nia,
Umeyajaza kwa mtima,
Hutaki Sahau,
Japo nakupa heshima,
Unanidharau,
Sema unaigiza,
Hata uliposema "Jikatae"
Umeipa Nuru Kiza,
Nisione Mbele Nijikwae
Sema unaigiza,
Hata uliposema "Jikatae"
Umeipa Nuru Kiza,
Nisione Mbele Nijikwae
Jaji mento Jaji mento,
Jaji mentally, Jaji mento,
Jaji mento Jaji mento,
Jaji mentally, Jaji mento,
Umenipa hukumu kali Jaji mento,
Jaji mentally, Jajimento
Umenipa hukumu kali Jaji mento,
Jaji mentally, Jajimentooo oh!
Shaka shaka eeh, Unashuku shuku eeh!
Everybody that you see yuko nami,
Unapata mawenge when i spend money,
Usisahau mi nna duka,
Ni tofauti vile unavyodhani,
Sikosi hela ya kusuka,
Yako Nia nia,
Ulipania nia,
Umeyajaza kwa mtima,
Hutaki Sahau,
Japo nakupa heshima,
Unanidharau,
Sema unaigiza,
Hata uliposema "Jikatae"
Umeipa Nuru Kiza,
Nisione Mbele Nijikwae
Sema unaigiza,
Hata uliposema "Jikatae"
Umeipa Nuru Kiza,
Nisione Mbele Nijikwae
Jaji mento Jaji mento,
Jaji mentally, Jaji mento,
Jaji mento Jaji mento,
Jaji mentally, Jaji mento,
Umenipa hukumu kali Jaji mento,
Jaji mentally, Jajimento
Umenipa hukumu kali Jaji mento,
Jaji mentally, Jajimentooo oh!