Sisemi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Sisemi - Mloccoh Songzx
...
hey my love, hey my love, love
hey my love, huuh!
Ni we ndo shani,
kwako burudani dada,
kwako bila mziki mi na-party,
Kwako ndo pekee u got dat true love ooh!, Mtamu ka ndo Kebab and Curry,
Sexy body chicka na Una sura,
Dolali, more money, bundle
Sina hata tuta la marando,
Ghetoni buibui utando,
wanangoja uje unitupa kando,
Dolali, more money, bundle
Sina hata tuta la marando,
Ghetoni buibui utando,
wanangoja uje unitupa kando,
Nimechoka Hadi Ndala
Cheusi Mangala
Kutwa Misala
Kichwani Pala
Mfuko Umedoda, Sina hata dala,
Mfupi Kigoda, Jangala,
Nimechoka Hadi Ndala
Cheusi Mangala
Kutwa Misala
Kichwani Pala
Mfuko Umedoda, Sina hata dala,
Mfupi Kigoda, Jangala, Heeheh!
Japo kwangu we tayari ulishasema Gado,
Gado kwangu Umetulia,
SISEMI, Ati unakurupuka dada,
Mwenzako mambo chali naona kama Bado,
Bado hali haijatulia,
SISEMI, ati unafurukuta dada,
Uskonde konde kisa mawazo dada,
Sina tena ana anado dada,
Tiba nipe pana panadol dada,
We ndo nami kamili Gado dada.
Uskonde konde kisa mawazo dada,
Sina tena ana anado dada,
Tiba nipe pana panadol dada,
We ndo nami kamili Gado dada.
Uzito tani,
Penzi unalonipa najiona mtoto bado,
Nalisakanya salio my sunshine,
Mambo yawe Gado,
Japo mzani,
Wangu mi na wako kipimo sare bado,
Kamata letu Pambio my Sunshine,
Mambo ado ado,
We ni fundi nipe mambo,
Upole wako chambo,
Hasara kwao, wao, hao,
Wanaopiga chabo ile mida nikirudi,
Nyumbani ukini wow, wow, wow.
We ni fundi nipe mambo,
Upole wako chambo,
Hasara kwao, wao, hao,
Wanaopiga chabo ile mida nikirudi,
Nyumbani ukini wow, wow, wow.
Nimechoka Hadi Ndala
Cheusi Mangala
Kutwa Misala
Kichwani Pala
Mfuko Umedoda, Sina hata dala,
Mfupi Kigoda, Jangala,
Nimechoka Hadi Ndala
Cheusi Mangala
Kutwa Misala
Kichwani Pala
Mfuko Umedoda, Sina hata dala,
Mfupi Kigoda, Jangala, Heeheh!
Japo kwangu we tayari ulishasema Gado,
Gado kwangu Umetulia,
SISEMI, Ati unakurupuka dada,
Mwenzako mambo chali naona kama Bado,
Bado hali haijatulia,
SISEMI, ati unafurukuta dada,
Uskonde konde kisa mawazo dada,
Sina tena ana anado dada,
Tiba nipe pana panadol dada,
We ndo nami kamili Gado dada.
Uskonde konde kisa mawazo dada,
Sina tena ana anado dada,
Tiba nipe pana panadol dada,
We ndo nami kamili Gado dada.
SISEMI, Ati unakurupuka dada,
Mwenzako mambo chali naona kama Bado,
Bado hali haijatulia,
SISEMI, ati unafurukuta dada,