Maisha Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Maisha - Rock of Ages Ministers
...
....................
Beti(verse )-1
Maisha ya dunia hii yapita upesi Kama upepo
Ni ya masumbuko na huzuni tele mwisho uwe mavumbini
Tulale tena...×2
(K)
"Bwana naomba nifungulie fahamu zangu ili niweze hesabu siku zangu nilalapo nilale na matumaini ....
kuja kwako Kama siku zangu hazijafika naomba niwe miongoni mwaooo watakaokulaki Kule mbinguni..."×2
.................
Beti(verse)-2
Hapa si(hapa sio kwetu...) tu wasafiri na yote yanapita...
Tafuta ufalme wa mbingu Maisha ya milele.. upate nafasii ×2
Machozi tutapanguzwa kwa furaha pamoja na wapendwa wetu..×2
(K)
"Bwana nifungulie fahamu zangu ili niweze hesabu siku zangu nilalapo nilale na matumaini ....
kuja kwako Kama siku zangu hazijafika naomba niwe miongoni mwaooo watakaokulaki Kule mbinguni..."×2