ONGEZA VOLUME Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
ONGEZA VOLUME - Afro Magik
...
Afro Magik
Na
Na ukiskia hio track imewai kidesign na hauwezi to kuketi basi we
Ongeza Volume
Alafu kakinyc shika wako enda naye kuta kitu mpka neighbour na aseme
Ongeza Volume
Niko maji, Niko Mae, Na kishasha kimewai, mpka soul ishapata sauti
Ongeza Volume
Aye
Mpka soul ishapata sauti ya
Okay
VERSE UNO
Ongeza Volume zitunice, aye
Juu pedi ashafika on time
Ongeza juggi juu zangu zimenice, aye
Si leo ni kutesa hadi baadae
Ok aye
Kaa unataka, mami utapata
Umeniweza, nasema yes bana
Na si ufala, umejaza masianda
Nikikuwai, ni forever kaa wakanda
Aye
Si style niko nayo tamu kama menthol na bado wanadai nasafisha kama Dettol
Nakuja na pang'ang'a ya maneno hii yangu joh ni skill kama kazi ya mjengo
Aye
Hii area wanajua me ndo kocha
Kama chef me nakuja na kasaucer
Pengting uko na mhh we rombosa
Geuza hio, hmm
Finyilia kwenye
Na
Ukiskia hio track imewai kidesign joh hauwezi to kuketi basi we
Ongeza Volume
Alafu kakinyc shika wako enda naye kuta kitu mpka neighbour na aseme
Ongeza Volume
Niko maji, Niko Mae, Na kishasha kimewai, mpka soul ishapata sauti
Ongeza Volume
Aye
Mpka soul ishapata sauti ya
(Oh Yeah Yeee)
VERSE TWO
Ongeza Volumeee
Juu zangu zimenice
Na bash imeshika watu wako Mae
Oh maee
Si performance iko tight
Na crowd imebamba wako
Ongeza Voluuuume
Aye
Sitapretend pretend
Nina shawrry anakam na ni
Weekend, Weekend
Anataka to manoti so ni
Deep end, Deep end
WataOngezaa Volume
Bila kuask a friend yeah
Najua hio track imekunice
Na bado nakucheki unadai
Aaii aii
Shawrry wanna whine dat waist
Step on, and Speed Up again
Baabee
Nasonga na Ile pace me nadai
Hii life usiniharakishe wewe
Weewe we
Na kama unajua umenice
Na kama unajua uko fine
Na na nai naii
Na
Ukiskia hio track imewai kidesign joh hauwezi to kuketi basi we
Ongeza Volume
Alafu kakinyc shika wako enda naye kuta kitu mpka neighbour na aseme
Ongeza Volume
Niko maji, Niko Mae, Na kishasha kimewai, mpka soul ishapata sauti
Ongeza Volume
Aye
Mpka soul ishapata sauti
(x2)
Ongeza Aye
Ongeza Ongeza
Ongeza Ongeza
Ongeza Ongeza
Ongeza Volume
Ongeza Ongeza
Ongeza Ongeza
Ongeza Ongeza
Ongeza Volume
Ongeza, ah aye
Ongeza, aye