Mama ft. Barnaba Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama ft. Barnaba - Y Tony
...
Y Tony ft Barnaba- Mama
We mama yangu mama
Huruma yako hakuna wa kufanana nae
Aaagh
Am Records
Mama usidai talaka tunaekupenda ni wewe
Ukiondoka tutateseka tukipata mama mwengine
Muone Jacky masikini kutwa nzima yupo na wewe
Nae Jeni kula hataki akiwa mbali na wewe
Mtoto wa jirani kachomwa moto utasikia
Kisa mama wa kambo hataki watoto asiowazaa
Mtoto wa jirani kachomwa moto utasikia mama kisa mama wa kambo hataki watoto asiowazaa lawama
Damu ni nzito kuliko maji mama aagh huruma yako hakuna wa kufanana nae
Wee tukikosea watubembeleza ahh
Mama wa kambo kitu kidogo watugombeza aah
Wee tukikosea watubembeleza aah
Mama wa kambo kitu kidogo watugombeza aah
Tatizo Dani mtundu sana anasumbua wakubwa kaenda kwa shangazi akatukana karudishwa kwa kupigwa
Kinachokukera mama kazi ya baba kubadili wanawake usimbane bane muache amalize mambo yake
Najua baba mlevi hiyo ndio hulka yake akishalewa mgomvi ndio lazima atuchape
Mtoto wa jirani kachomwa moto utasikia
Kisa mama wa kambo hataki watoto asiowazaa
Mtoto wa jirani kachomwa moto utasikia mama kisa mama wa kambo hataki watoto asiowazaa lawama
Damu ni nzito kuliko maji mama aagh huruma yako hakuna wa kufanana nae
Wee tukikosea watubembeleza ahh
Mama wa kambo kitu kidogo watugombeza aah
Wee tukikosea watubembeleza aah
Mama wa kambo kitu kidogo watugombeza aah
...................................................................
Chozi letu kwako we mama we mama mama
Na ukiondoka tutateseka we mama mama mama*4