Masebene Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Masebene - Y Tony
...
Y - Tony - Masebene
.....
aah oh
mmm aah
Kale ka penzi katamu nilichokupa toka moyoni, na ile michezo mitamu sasa shubiri chungu mdomoni. Macho yangu yamezoea kuona vile ya mbavu na supu, yalio nikuta mpaka uruma na kuyavuna mabusu.
Maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja Imani, ukavuja na kaniri ya mapenzi yani tena adharani. x2
Chorus
Sijazoea masebeni miye yani ni bora uniache, Honey kupenda kote kumbe mwenzangu mawenge x2
Ukanimwaga na machozi adharani mi mwenzako ili niuma, Mimi mwenzako nilikukanya lakini ukawafata Mwajuma.
Kumbuka nilivyokuwa najituma nikupe mapenzi ya dhati ulidhike, kumbe mwenzangu mwasherati niya yako niteseke.
(mama)
Maneno ya mashoga zako mama yalikuvunja, Imani ukavuja na kaniri ya mapenzi yani tena adharani. x2
Chorus
Sijazoea masebeni miye yani ni bora uniache, Honey kupenda kote kumbe mwenzangu mawenge x2
mama
mawenge
kupenda kote kule kumbe mwenzangu mawenge aah ee ooh mamama
Chorus
Sijazoea masebeni miye yani ni bora uniache, Haney kupenda kote kumbe mwenzangu mawenge. x4
.....