Karola Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2017
Lyrics
Karola - Remmy Ongala
...
Ukiwa mtenda mabaya wewe mwenyewe haujijui Ukiwa mtenda mabaya kila siku unasema unaonewa. Ukiwa mtenda mabaya huko unakokwenda pia Ni pabaya. Ukiwa na roho mbaya kweli tutakuogopa Ukiwa na pesa nyingi husahau utandugu zako Kweli walimwengu hawana wema mola uwape Nini? Ukiwa mtenda mabaya wewe mwenyewe haujijui
Ukiwa mtenda mabaya kila siku unasema unaonewa.
Ukiwa mtenda mabaya huko unakokwenda pia Ni pabaya. Ukiwa na roho mbaya kweli tutakuogopa Ukiwa na pesa nyingi husahau utandugu zako Kweli walimwengu hawana wema mola uwape Nini? Ukiwa mtenda mabaya wewe mwenyewe haujijui Ukiwa mtenda mabaya kila siku unasema unaonewa. Ukiwa mtenda mabaya huko unakokwenda pia Ni pabaya. Ukiwa na roho mbaya kweli tutakuogopa Ukiwa na pesa nyingi husahau utandugu zako Kweli walimwengu hawana wema mola uwape Nini? Karola (karola) x 5 Kula unakula nae (karola) adui wako (karola) Uyo unacheka nae (karola) adui wako (karola) Uyo unaemwamini (karola) adui wako (karola) Yule kipenzi chako (karola) adui wako (karola) Akipata mwingine (karola) adui wako Uyo una mwamini (karola) kesho atakuua (karola) Uyo unamsadiki (karola)ndio atakumaliza (karola) Karola (karola) Kula unakula nae (karola) adui wako (karola) Uyo unacheka nae (karola) adui wako (karola) Adui wako(karola)
By official_vanny27
255626129193