Karola Lyrics
- Genre:Holiday
- Year of Release:2019
Lyrics
Karola - Remmy Ongala
...
Ukiwa mtenda mabaya, wewe mwenyewe haujijui..
Ukiwa mtenda mabaya, kila siku unasema unaonewa..
Ukiwa mtenda mabaya, huko unakokwenda pia ni pabaya..
Ukiwa na roho mbaya eeh, kweli tutakuogopa..
Ukiwa na pesa nyingi, husahau hata ba ndugu zako..
Kweli walimwengu hawana wema, mola awape nini..
Karola wee
Karolaaa
Eeeeh rola wee we weee
Karola we we we weeee
Karola we
Karola wee
Karola wangu
Karola eeeh.. masai malima
Yule unakula nae.. adui wako
Yule unacheka nae.. adui wako
Yule una muamini.. adui wako
Yule kipenzi chako.. adui wako
Akipata mwingine.. adui wako
Yule una muamini.. ndio atakuua
Yule una msadiki.. ndio atakumaliza
Uuuuh? Uuuh? Uuuh? Uuuh? Uuuh? Uu ho