Nyanga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nyanga - Ziddy Value
...
mhhhh aah
siku mapigo yangu ya moyo yatapo acha kudunda
na Nuru ntazima mfano wa nyota labda ndo utanipenda
sitaweza kuamka machooo yangu yakishafunga
sio ka nakufuru roho inateseka Shahidi baba muumba
naomba usiache kuwaambia ndugu jamaa na mama wapunguze kuliaaa tutaonana (tutaonana) tenaa
we sindo uliapa Kwa bibilia ukashika juzuu ukanena na nadhiri ukatia hilo hukuliitazama
nakubembeleza mwenzangu urudishe furaha kumbe masikini na we una wako alokupa jerahaaa
ukanitengeneza nikuone boraaah skujua kiundani moyo ukificha unaificha silahaaa
moyo umeupasuaa (nyaang'a nyaang'a)
umeulipuaa Kwa kishindoo (nyaang'a nyaang'a)
aaah nyaang'a aaah(nyaang'a nyaang'a)
ukauchukua ukauponda na nyundo ( nyaang'a nyaang'a) ihii niumieee eh
mmmmh eeehh mhhhh
mi mwana wa fadhira si choyo mengii nshaachaga yapitee nkakukumbatiaa aah
sikujua una sanaa kwenye page za hao wa wengii unagawaa mate vipo nyuma ya paziaa
mwanzo moyo ulinivunja nkaufunga pop ooh nkaacha nidhalilike nikajitia navumiliaa
kumbee nshajitangaza link Kwa vioo wa kupendwa ntakua mie nichekweee wenye vyao wanapandiaa mmhh
ila jua mapenzi kitanda Cha majerahaa......hivyo ulompata usimuuzee mhhhh
nyumbani wazazi walinifunza milaa ah...... hata nikikosewa nsilipizee
Nakubembeleza mwenzangu urudishe furaha kumbe masikini na we una wako alokupa jerahaaa
ukanitengeneza nikuone boraaah skujua kiundani moyo ukificha unaificha silahaaa
moyo umeupasuaa nyaang'a nyaang'a
umeulipuaa Kwa kishindoo (umeulipuaa Kwa kishindoo) ( nyaang'a nyaang'a) aaah
nyaang'aaaa nyaang'a nyaang'a (eeeh eeeh)
ukauchukua ukauponda na nyundo nyaang'a nyaang'a miii niumieee eh niteketee... iiih niumieee.....