Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2021

Lyrics

Jeraha - Ziddy Value

...

Sina budi kuridia, nizoee taratibu nijifosi

ingawa moyo ndo vile

Kadi yako imefika, naskia umempata mwarabu unajiposti

Ntakuja kwenye sherehe

Na kile kioo ulichokua unatumia, kujitazama

Ntakitunza, ibaki kama kumbukumbu

Vile roho ya choyo sjaumbiwa, hakunifunza mama

Hivyo ningependa usiache pokea salam zangu

Sawa, ntakuita shemeji, na maua kama zawadi

Macho yatantoka maji, ntajifuta kujifariji

'naposhuka mvua za radi, peke yangu ntahisi baridi

Nnapokua bored, na moyoni bado litasumbuaa

Ooh yeah

Jeraha, (kidonda kibichi umekisugua)

Jeraha (moyo umentapakaa damu)

Jeraha (jeraha maradhi ya moyo)

Jeraha (umeutenganisha mfupa na shahamu)


Ona umenshushia dho'hali, hali ya kuwa bado yangu hatima

Umeniacha dhil'hali, licha ya kukutunzia heshima

Si ulisema tuanze safari, hutonishusha kwa njia na

Vile penzi mfano wa bahati, nami sikuelea nkazama

Umenipa wakati mgumu, umeutoboa mshipa wa faraja

Ila niape kutolaumu, jambo la ndoa kwa Mungu ni ibada

Ntakuita shemeji, na maua kama zawadi

Macho yatantoka maji, ntajifuta kujifariji

'naposhuka mvua za radi, peke yangu ntahisi baridi

Nnapokua bored, na moyoni bado litasumbuaa

Ooh yeah

Jeraha, (kidonda kibichi umekisugua)

Jeraha (moyo umentapakaa damu)

Jeraha (jeraha maradhi ya moyo)

Jeraha (umeutenganisha mfupa na shahamu)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status