Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Shida Zangu - Rose Muhando

...

yaweeeeeh

nainuwa macho, nitazame pande zote....

nione kama Yuko, wakumwelezea shida zangu.....

naona hakuna, wote wamepungukiwa....

hawana furaha, hawana matumaini

Nakumbuka habari, za yule mwana mke......

aliye Tokwa damu, miyaka kumi na miwili.....

alipo sikia, Kwamba yesu anapita...

Ali azimia, akasema moyoni mwake..

nitajisongeza, mpka nifike Kwa yesu...

nitajisongeza, mbele ya umati was watu.....

nitajipenyeza, mpka nifike Kwa yesu...

niguse pindo lake, Ili nipate uzima..

akajisongeza, mpaka akafika Kwa yesu...

akagusa pindo lake, mara akawa mzima, pona.....

akatoka damu miyaka kumi na miwili..



nami Bwana, ni sawa na yule mwana mke...

aliye toka damu miyaka kumi na miwili..

nimesha sikia habari za matendo yako....

nime hazimia, nami Bwana mwoyoni mwangu....

nitahakikisha, mpaka nifike kwako yesu...

niguse pindo lako, cancer iniondoke....

niguse pindo lako, u masking ukae mbali nami...

nimechoka kuonewa, Mimi namtaka Yesu...

nasema sikubali, kukufa namagonjwa yangu...

nitajisongeza, mpaka nifike Kwa yesu, nipone...


Kuna watu wengine, jamani wananishangaza...

unapo wabia, habari za kumwona Yesu .....

wananza kuwuliza, eti unatoka wapi ..?

wananishangaza namaswali ya ajabu...

unatokea wapi? Kanisa lako ni lipi...?

nasema nipisheni, Mimi namtaka Yesu ....

maswali sitaki, Mimi namtaka Yesu ....

nimwelezee shida zangu, Ili nipate kupona....

nimwelezee shida zangu, Ili nipate amani....

nisikie furaha, nipate kuburudika, moyoni....


Kwa habari ya thambi, huyu yesu alishinda.....

alipo shuka kuzimu, ona ilinyamaza kimya....

alikanyaga kifo, nayo mawuti ilimezwa..

akatoka yuhai, Sasa yesu Yuko mbinguni....

anatawala mbinguni, anamiliki duniani....

acheni huyu yesu, jamani ayitwe Mungu......*2

Milele.......


nimechoka kuonewa Mimi namtaka Yesu...*2

nimwelezee shida zangu, taabu ziniondoke ....

na sema sitaki, Mimi namtaka Yesu............


namtaka Yesu nipone

(ummmm Yesu ni bwana wa mabwana......)

namtaka Yesu nipone

(Yesu ni Mungu wa huruma ...Yesu)

namtaka Yesu nipone

(yeye ni Baba wa Yatima.. Yesu)

namtaka Yesu nipone

( Yesu ni mme wa wajane....)

namtaka Yesu nipone

(nasema, fitina sitaki...)

namtaka Yesu nipone

(Jamani machungu sitaki..)

namtaka Yesu nipone

(nasema, nimechoka kuonewa...)

namtaka Yesu nipone

(mama.maaaa......)

namtaka Yesu nipone

(ummm..., machungu, sitaki....)

namtaka Yesu nipone

( marafiki wabaya, sitaki...)

namtaka Yesu nipone

(wenye fitina, siwataki...)

namtaka Yesu nipone

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status