Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Sitanyamaza - Rose Muhando

...

Eeeeeh, Mimi mungu Kwa tiro nitalia Kwa zioni nitaomboleza sodoma nitanung'unika mipakani nitashambulia mijini wameniacha hilo bwana nitashambulia maisha ya wanadamu yamenichoshaaa,


hoooh! hoooh! Mimiiiii, sitanyamazaa wala sitanyamaza lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao, maovu yenu nyinyi pamoja na Baba zenu, iyoo leleeh, na sasa nitalipa chuki ???? ni mengi bwana,nimekukiza uvumba na kunitukanaaa, Kwa ajili ya hayo mtajutia Kwa kizazi chenu, sitanyamazaa wala sitanyamazaa, lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao, mwao maovu yenu ninyi pamoja na Baba zenu, na sasa nitalipa chuki ?? ni mengi bwana, mmechukiza uvumba na kunitukanaaa, Kwa ajili ya hayo mtajutia Kwa kizazi chenu.


mmmefaanya uzinzi katikati ya milima,usikuuuu wa manane mmefanya ukahaba,kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano, kwenye njiani na mipera mmefanya machukizoooo,

(ulitumaini uzuri wako, ukafanya ukahaba,kila kijana aliye pita ulimwona anafaa, awe mzuri na Sura mbaya ulifunua marinda ×2) , (wako wapiii wapenzi wako onasasa unakondaa ×4).


(miji mizuri imekua ukiwa, majumba mazuri yamefungwa kabisaaa, wana wa wana wamebaki yatima,kiburi chako ??? kabisaa ×2)


(Hebu sasa piga kelele ulie kahabaa, shika kinumbi piga kelele omboleza upate kukumbukaaa ×2)


(Nirudieni Mimi, yelelee, niwasamehee, nasema Leo ombeni saasa ni waponyeee ×5)


(Lakini bwana asema hiviiiiii,,,, nitawaponyaaa, ( yeye mwenyewe ameahidi),, nitawabarikiiii,,, ( Mimi ni Alfa ma Omega) mwanzo na mwishooo, ( kwani Mimi ni munguuu) mwingine hapanaaa ×2)


heheeeee,,,,,, (nirudieni Mimi niwasamehee nasema,, Leo ombeni sasaa ni niwaponyeee×6)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status