Umenibadilisha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Umenibadilisha - Lody Music
...
oiyeee, mmmhmmh
lody music on ds one
maswali mengi ya nini,
si unajua kwako niliteleza,
si unanipangia kwa maana,
mwenzako nashindwa kujieleza
nimekuuzi am sorry babby, si unapenda kingereza, si unanikatia ndo mana, nakosa mda wa kubembeleza, mimi niko salama, niling'ang'ana mapenzi yamenicost inaniuma balaa, kwako sina mana, si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa,, niache ning'ae, acha unikatae, nikiulizwa najibu siko nae,
tena usishangae uko baadae nitapata mwengine
umenibadilisha wewe×5
sku usishike simu utakutana na message za kina Mobetto,,
mara mojamoja wanajimalizaga utashikwa na presha mamaa, tena nimekuwa mwalimu wa mapenzi yaleyale ya sambalugetto, ulishindwa kungoja ukanipotezaga,
mapenzi yakanitesa sana,
kumbenimepiga mimi mbona ujasema kama kamoja changa unanimalizia,.
ebu piga wewe ukooo (aaaàaya)
nilikoseanini mbona hukusema,
ukaniandama ukajipanikia
unajiliza nini ukooo(aaaaya)
chorus ****
umenibadilisha wewe
lody music