Loading...

Download
  • Genre:Soul
  • Year of Release:2017

Lyrics

Kina Cha Upendo - Umoja Wa Vijana Kkkt Ubungo

...

Nashangaa Nashangaa

Kina cha Upendo wa Mungu wanizunguka

Nashangaa tena nashangaa

Alivyo mwema kwangu siku zote

Kwa mapana marefu ya pendo

Nauona waziwazi

Pande zote amenizunguka

Naburudika kwenye pendo lake

Natembea bila wasiwasi

Katika Pendo la Yesu

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu atatenda kwa wakati

Kina cha Pendo la Yesu

Ni Pendo lisilo kipimo

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu Atatenda kwa wakati

Kina cha pendo la Yesu

Ni Pendo lisilo kipimo

*

***

*

*

Bado kitambo kidogo

Utafanikiwa maishani

Acha wasiwasi utembee na Yesu leo

Bado kitambo kidogo

Utafanikiwa maishani

Acha wasiwasi utembee na Yesu leo

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu atatenda kwa wakati

Kina cha pendo la Yesu

Ni pendo lisilo kipimo

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu atatenda kwa wakati

Kina cha pendo la Yesu

Ni pendo lisilo kipimo

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu atatenda kwa wakati

Kina cha pendo la Yesu

Ni pendo lisilo kipimo

Kina cha pendo la Yesu

Chazidi kina cha bahari

Hangaiko la machozi

Kwa Yesu ni furaha

Subiri ngoja uone

Yesu atatenda kwa wakati

Kina cha pendo la Yesu

Ni pendo lisilo kipimo.

*

***

*

*

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status