Wewe Ni Mwema Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Wewe Ni Mwema - Angela Chibalonza
...
Oh Lord !! Thank you for loving me.
Jesus, Halleluya! ... you are my God!
Nikikumbuka upendo wako kwangu !
Nahisi kama ningelikuwa na mabawa
Niruke mahali ulipo Ee Bwana
Nipige magoti mbele zako niabudu
Wewe ni Mungu unanipenda jinsi nilivyo
Ndiyo maana ninakuimbia Bwana wanguuu
Chorus
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
We ni mwema kwangu ( mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me o Lord (so good to me )
Your are so good to me o God (so good to me)
Ooooooh oooh Baba aaaa
Ninakupenda Yesu Kwa wema wako kwangu !
Isingelikuwa wewe Yesu , Shetani angenimeza hai !
Seli bana umaskini zingenimeza hali iii
Ninakupenda Yesu Ninakuabudu Yesu ooh
Hakuna kama wewe ooooh oh
Chorus
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
We ni mwema kwangu ( mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me o Lord (so good to me )
Your are so good to me o God (so good to me)
Upendo wako una nguvu kuliko moto
Hata nikipita kwenye moto sitaungua
Tena upendo una nguvu nyingi kuliko mauti Baba aaa
Ndio maana hata nikifa leo nitafufuka
Ee Mungu wangu umenipenda upendo wa bure
Bwana ninakuinua Mungu wanguuu
Chorus
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
We ni mwema kwangu ( mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me o Lord (so good to me )
Your are so good to me o God (so good to me)
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
We ni mwema kwangu ( mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu )
We ni mwema kwangu (mwema kwangu)
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me (so good to me )
You are so good to me o Lord (so good to me )
Your are so good to me o God (so good to me)